8 2 Sam 13:19;Ayu 42:6;Mt 11:21Naye akashika kigae cha kujikunia; akaketi majivuni.
13 Mwa 50:12Kisha wakaketi ardhini pamoja naye muda wa siku saba, mchana na usiku, wala hapana mmoja aliyenena naye neno lolote; kwa maana waliona ya kuwa mashaka yake aliyo nayo ni makuu mno.