Pular para o conteúdo
Publicidade

Jó 23

10 Zab 17:3;Yak 1:12Lakini yeye aijua njia niendeayo;

Akisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.

11 Zab 44:18Mguu wangu umeshikamana sana na hatua zake;

Njia yake nimeishika, wala sikukengeuka.

Veja também