8 Zab 119:73;Isa 43:7Mikono yako imeniumba na kunifinyanga;
Nawe utageuka na kuniangamiza?
9 Mwa 2:7;Isa 45:9Kumbuka, nakusihi ulivyonifinyanga kama vile udongo;
Nawe, je! Utanirudisha uvumbini tena?