Publicidade

Jó 26

8 Mit 30:4Huyafunga maji ndani ya mawingu yake mazito;

Na hilo wingu halipasuki chini yake.

9 Husitiri uso wa kiti chake cha enzi,

Na kulitandaza wingu lake juu yake.

10 Yer 5:22Amepiga duara kuwa ni mpaka juu ya uso wa maji,

Hata hapo mwanga na giza vinapopakana.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-