Pular para o conteúdo
Publicidade

Jó 29

12 Zab 72:12;Mit 21:13Kwa sababu nilimwokoa maskini aliyenililia;

Yatima naye, na yule asiyekuwa na mtu wa kumsaidia.

13 Baraka yake yeye aliyekuwa karibu na kupotea ilinijia;

Nikaufanya moyo wa mjane kuimba kwa furaha.

Veja também