Publicidade

Jó 9

Ayubu ajibu: Hakuna mpatanishi

1 Ndipo Ayubu akajibu, na kusema,

2 Ayu 4:17;Zab 143:2;Rum 3:20Kweli najua kuwa ndivyo hivyo;

Lakini mtu huwaje mwenye haki mbele za Mungu?

3 Kama akipenda kushindana naye,

Hawezi kumjibu neno moja katika elfu.

4 Yeye ni mwenye hekima moyoni, na mwenye uwezo katika nguvu;

Ni nani aliyejifanya kuwa mgumu juu yake, naye akafanikiwa?

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_12-11-46-