5 Rum 10:17;Hes 12:8,9;Isa 6:1Nilikuwa nimesikia habari zako, kwa kusikia kwa masikio;
Bali sasa jicho langu linakuona.
Marafiki wa Ayubu waaibishwa
7 Basi ikawa, baada ya BWANA kumwambia Ayubu maneno hayo, BWANA akamwambia huyo Elifazi Mtemani, Hasira zangu zinawaka juu yako, na juu ya hao rafiki zako wawili; kwa kuwa ninyi hamkunena yaliyo sawa katika habari zangu, kama alivyonena mtumishi wangu Ayubu.
Ayubu arejeshewa mali yake maradufu
10 Ayu 1:1-3;Isa 40:2Kisha BWANA akamrejeshea Ayubu mali yake, hapo alipowaombea rafiki zake; BWANA naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliyokuwa nayo kwanza.