Pular para o conteúdo
Publicidade

Jó 1

21 Yak 1:17;Mwa 45:5;Amo 3:6;Efe 5:20akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe. 22 Katika mambo hayo yote Ayubu hakufanya dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa upumbavu.

Veja também