10 Tati zetu watekha sugusa kwa kisingi kicheche inga wekuonavyo woo wenye vyafaa, akini Muungu atekha sugusa kwa yombe yetu ili tidahe kuwa wang’aa inga yee. 11 Khakuna mtu aitamiaye sugusa iya ahuzunika, akini wantu wekwehinyao kuwa na khachu ntana kwa sia ya kwekhigwa wekaisa kwa uivanisi na kugosoa mbui zimtamiiazo Muungu he meso yakwe.
Publicidade