11 Wantu wa Belea newawa wakawategeeza vitana kusima wada Wasesalonike, kisingi Paolo abiikia Mbui ya Zumbe Yesu wakazihokea kwa hovu khuu wakawa wayasungumanya Maandiko ya Muungu kia msi, ili kufanyanya inga yada yagombekwayo na Paolo na Sila yawa ya kwei.
Publicidade