28 Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao,
naye akawatoa kwenye taabu yao.
29 Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono,
mawimbi ya bahari yakatulia.
30 Walifurahi ilipokuwa shwari,
naye akawaongoza hadi bandari waliyoitamani.