Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 118:5,6

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

5 Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia Bwana,

naye akanijibu kwa kuniweka huru.

6 Bwana yuko pamoja nami, sitaogopa.

Mwanadamu anaweza kunitenda nini?

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    5 Wakati wa maumivu yangu makuu, nilimlilia Mwenyezi Mungu,

    naye akanijibu kwa kuniweka huru.

    6 Mwenyezi Mungu yuko pamoja nami, sitaogopa.

    Mwanadamu anaweza kunitenda nini?

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    5 Zab 18:19Katika shida yangu nilimwita BWANA;

    BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi.

    6 Ebr 13:6;Rum 8:31BWANA yuko upande wangu, sitaogopa;

    Mwanadamu atanitenda nini?

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.