Sifa Za Sheria Ya Bwana
Kuitumainia Sheria Ya Bwana
47 kwa kuwa ninazifurahia amri zako
kwa sababu ninazipenda.
48 Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu,
nami ninatafakari juu ya maagizo yako.Bwana
47 kwa kuwa ninazifurahia amri zako
kwa sababu ninazipenda.
48 Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu,
nami ninatafakari juu ya maagizo yako.Bwana