Wimbo Wa Kumshukuru Mungu
1 Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema.
Fadhili zake zadumu milele.
26 Mshukuruni Mungu wa mbinguni,
Fadhili zake zadumu milele.
1 Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema.
Fadhili zake zadumu milele.
26 Mshukuruni Mungu wa mbinguni,
Fadhili zake zadumu milele.
1 Mshukuruni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa ni mwema.
Fadhili zake zadumu milele.
26 Mshukuruni Mungu wa mbinguni,
Fadhili zake zadumu milele.
1 1 Nya 16:34;2 Nya 5:13;7:3;Ezr 3:11;Zab 100:5;106:1;107:1;118:1;Yer 33:11Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
26 Mshukuruni Mungu wa mbingu;
Kwa maana fadhili zake ni za milele.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.