25 Kwa yeye aliye mwaminifu, unajionyesha kuwa mwaminifu,
kwa asiye na hatia, unajionyesha kutokuwa na hatia.
26 Kwa aliye mtakatifu, unajionyesha kuwa mtakatifu,
lakini kwa aliyepotoka, unajionyesha kuwa mkaidi.

25 Kwa yeye aliye mwaminifu, unajionesha kuwa mwaminifu,
kwa asiye na hatia, unajionesha kutokuwa na hatia.
26 Kwa aliye mtakatifu, unajionesha kuwa mtakatifu,
lakini kwa aliyepotoka, unajionesha kuwa mkaidi.
25 Mt 18:32-35Kwa mtu mwenye fadhili utakuwa mwenye fadhili;
Kwa mkamilifu utajionesha kuwa mkamilifu;
26 Law 26:23Kwake ajitakasaye utajionesha kuwa mtakatifu;
Na kwa mpotovu utajionesha kuwa mkaidi.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.