28 Wewe, Ee Bwana, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka;
Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga.

28 Wewe, Ee Mwenyezi Mungu, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka;
Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga.
28 Ayu 18:6Kwa kuwa Wewe unaiwasha taa yangu;
BWANA Mungu wangu aniangazia giza langu.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.