35 Hunipa ngao yako ya ushindi,
nao mkono wako wa kuume hunitegemeza,
unajishusha chini ili kuniinua.
36 Huyapanua mapito yangu,
ili miguu yangu isiteleze.
35 Hunipa ngao yako ya ushindi,
nao mkono wako wa kuume hunitegemeza,
unajishusha chini ili kuniinua.
36 Huyapanua mapito yangu,
ili miguu yangu isiteleze.
35 Hufanya msaada wa wokovu wako kuwa ngao yangu,
nao mkono wako wa kuume hunitegemeza;
msaada wako umeniinua niwe mkuu.
36 Huyapanua mapito yangu,
ili miguu yangu isiteleze.
35 Nawe umenipa ngao ya wokovu wako,
Mkono wako wa kulia umenitegemeza,
Na unyenyekevu wako umenikuza.
36 Umezipanulia nafasi hatua zangu,
Na miguu yangu haikuteleza.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.