12 Yeyote kati yenu anayependa uzima
na kutamani kuziona siku nyingi njema,
13 basi auzuie ulimi wake na mabaya,
na midomo yake kutokana na kusema uongo.
14 Aache uovu, atende mema,
aitafute amani na kuifuatilia.
12 Yeyote kati yenu anayependa uzima
na kutamani kuziona siku nyingi njema,
13 basi auzuie ulimi wake na mabaya,
na midomo yake kutokana na kusema uongo.
14 Aache uovu, atende mema,
aitafute amani na kuifuatilia.
12 Yeyote kati yenu anayependa uzima
na kutamani kuziona siku nyingi njema,
13 basi auzuie ulimi wake na mabaya,
na midomo yake kutokana na kusema uongo.
14 Aache uovu, atende mema,
aitafute amani na kuifuatilia.
12 1 Pet 3:10-12Ni nani atamaniye uzima na atakaye kuishi,
Siku nyingi afurahie mema?
13 1 Pet 2:22Uuzuie ulimi wako na mabaya,
Na midomo yako na kusema hila.
14 Uache mabaya ukatende mema,
Utafute amani ukaifuatie.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.