Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 91

Mungu Mlinzi Wetu

1 Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana,

atadumu katika uvuli wake Mwenyezi.91:1 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania.

2 Nitasema kumhusu Bwana, "Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu,

Mungu wangu, ambaye ninamtumaini."

3 Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji,

na maradhi ya kuambukiza ya kuua.

4 Atakufunika kwa manyoya yake,

chini ya mbawa zake utapata kimbilio,

uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também