4 Jifurahishe katika Bwana
naye atakupa haja za moyo wako.
5 Mkabidhi Bwana njia yako,
mtumaini yeye, naye atatenda hili:
4 Jifurahishe katika Bwana
naye atakupa haja za moyo wako.
5 Mkabidhi Bwana njia yako,
mtumaini yeye, naye atatenda hili:
4 Jifurahishe katika Mwenyezi Mungu
naye atakupa haja za moyo wako.
5 Mkabidhi Mwenyezi Mungu njia yako,
mtumaini yeye, naye atatenda hili:
4 Ayu 27:10;Wim 2:3;Isa 58:14;1 Pet 1:8Nawe ujifurahishe katika BWANA,
Naye atakutimizia haja za moyo wako.
5 Mt 6:25;1 Pet 5:7Umkabidhi BWANA njia yako,
Pia umtumainie, naye atakutendea.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.