4 Jifurahishe katika Mwenyezi Mungu
naye atakupa haja za moyo wako.
5 Mkabidhi Mwenyezi Mungu njia yako,
mtumaini yeye, naye atatenda hili:
4 Jifurahishe katika Mwenyezi Mungu
naye atakupa haja za moyo wako.
5 Mkabidhi Mwenyezi Mungu njia yako,
mtumaini yeye, naye atatenda hili: