14 Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda,
watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu,
15 wakitangaza, "Bwana ni mkamilifu;
yeye ni Mwamba wangu,
na ndani yake hamna uovu."
14 Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda,
watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu,
15 wakitangaza, "Bwana ni mkamilifu;
yeye ni Mwamba wangu,
na ndani yake hamna uovu."