Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 92

14 Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda,

watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu,

15 wakitangaza, "Mwenyezi Mungu ni mkamilifu;

yeye ni Mwamba wangu,

na ndani yake hamna uovu."

Veja também