33 Nitamwimbia Mwenyezi Mungu maisha yangu yote;
nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi.
34 Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye,
ninapofurahi katika Mwenyezi Mungu.