Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 107

28 Ndipo walipomlilia Mwenyezi Mungu katika shida yao,

naye akawatoa kwenye taabu yao.

29 Akatuliza dhoruba kwa mnong’ono,

mawimbi ya bahari yakatulia.

30 Walifurahi ilipokuwa shwari,

naye akawaongoza hadi bandari waliyoitamani.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também