Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 112

Baraka za mwenye haki

1 Msifuni Mwenyezi Mungu.112:1 kwa Kiebrania ni Hallelu Yah.

Heri mtu yule amchaye Mwenyezi Mungu,

mtu yule apendezwaye sana na amri zake.

Veja também