Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 116

Shukrani kwa kuokolewa kutoka mauti

1 Nampenda Mwenyezi Mungu kwa maana amesikia sauti yangu;

amesikia kilio changu ili anihurumie.

2 Kwa sababu amenitegea sikio lake,

nitamwita siku zote za maisha yangu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também