Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 116

6 Mwenyezi Mungu huwalinda wanyenyekevu,

nilipokuwa katika shida kubwa, aliniokoa.

7 Ee nafsi yangu, tulia tena,

kwa kuwa Mwenyezi Mungu amekuwa mwema kwako.

8 Kwa kuwa wewe, Ee Mwenyezi Mungu,

umeniokoa nafsi yangu na mauti,

macho yangu kutokana na machozi,

miguu yangu kutokana na kujikwaa,

9 ili niweze kutembea mbele za Mwenyezi Mungu,

katika nchi ya walio hai.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também