Imani katika Torati ya Mwenyezi Mungu
89 Ee Mwenyezi Mungu, neno lako ni la milele,
linasimama imara mbinguni.
90 Uaminifu wako unaendelea kwa vizazi vyote,
umeiumba dunia, nayo inadumu.
89 Ee Mwenyezi Mungu, neno lako ni la milele,
linasimama imara mbinguni.
90 Uaminifu wako unaendelea kwa vizazi vyote,
umeiumba dunia, nayo inadumu.