Sala ya kuomba msaada
1 Hadi lini, Ee Mwenyezi Mungu? Je, utanisahau milele?
Utanificha uso wako hadi lini?
2 Nitapambana na mawazo yangu hadi lini,
na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu?
Adui zangu watanishinda hadi lini?

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.