11 Nikisema, "Hakika giza litanificha
na nuru inayonizunguka iwe usiku,"
12 hata giza halitakuwa giza kwako,
usiku utang’aa kama mchana,
kwa kuwa giza ni kama nuru kwako.
11 Nikisema, "Hakika giza litanificha
na nuru inayonizunguka iwe usiku,"
12 hata giza halitakuwa giza kwako,
usiku utang’aa kama mchana,
kwa kuwa giza ni kama nuru kwako.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.