Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 139

7 Niende wapi nijiepushe na Roho yako?

Niende wapi niukimbie uso wako?

8 Nikienda juu mbinguni, wewe uko huko;

nikifanya vilindi139:8 Vilindi ina maana ya Kuzimu; kwa Kiebrania ni Sheol. kuwa kitanda changu,

wewe uko huko.

Veja também