Kumsifu Mwenyezi Mungu mwokozi
1 Msifuni Mwenyezi Mungu!146:1 kwa Kiebrania ni Hallelu Yah; pia 146:10.
Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi Mungu,
2 Nitamsifu Mwenyezi Mungu maisha yangu yote;
nitamwimbia Mungu wangu sifa
wakati wote ningali hai.

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.