Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 149

Wimbo wa kumsifu Mwenyezi Mungu kwa wema wake

1 Msifuni Mwenyezi Mungu.149:1 kwa Kiebrania ni Hallelu Yah; pia 149:9.

Mwimbieni Mwenyezi Mungu wimbo mpya,

sifa zake katika kusanyiko la watakatifu.

3 Na walisifu jina lake kwa kucheza

na wampigie muziki kwa matari na kinubi.

4 Kwa maana Mwenyezi Mungu anapendezwa na watu wake,

anawavika wanyenyekevu taji la wokovu.

5 Watakatifu washangilie katika heshima hii,

na waimbe kwa shangwe vitandani mwao.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também