Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 18

2 Mwenyezi Mungu ni mwamba wangu,

ngome yangu na mwokozi wangu;

Mungu wangu ni mwamba wangu,

ninayemkimbilia.

Yeye ni ngao yangu na pembe18:2 pembe inamaanisha nguvu ya wokovu wangu,

ngome yangu.

Veja também