Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 22

22 Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu,

katika kusanyiko nitakusifu wewe.

23 Ninyi ambao mnamcha Mwenyezi Mungu, msifuni!

Ninyi nyote wazao wa Yakobo, mheshimuni yeye!

Mcheni yeye, ninyi wazao wa Israeli!

24 Kwa maana hakupuuza wala kudharau

mateso ya aliyeteswa;

hakumficha uso wake

bali alisikiliza kilio chake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também