Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 23

Mwenyezi Mungu mchungaji wetu

1 Mwenyezi Mungu ndiye mchungaji wangu,

sitapungukiwa na kitu.

2 Hunilaza katika malisho

ya majani mabichi,

kando ya maji matulivu huniongoza,

3 hunihuisha nafsi yangu.

Huniongoza katika njia za haki

kwa ajili ya jina lake.

Veja também