6 Kumbuka, Ee Mwenyezi Mungu, rehema zako kuu na upendo,
kwa maana zimekuwepo tangu zamani.
7 Usizikumbuke dhambi za ujana wangu
wala njia zangu za uasi,
sawasawa na upendo wako unikumbuke,
kwa maana wewe ni mwema, Ee Mwenyezi Mungu.