22 Katika hofu yangu nilisema,
"Nimekatiliwa mbali na macho yako!"
Hata hivyo ulisikia kilio changu
ukanihurumia nilipokuita unisaidie.
22 Katika hofu yangu nilisema,
"Nimekatiliwa mbali na macho yako!"
Hata hivyo ulisikia kilio changu
ukanihurumia nilipokuita unisaidie.