Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 36

7 Upendo wako usiokoma

ni wa thamani mno!

Watu wakuu na wadogo

hujificha uvulini wa mabawa yako.

8 Wanajifurahisha katika wingi ulio nyumbani mwako,

nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako.

9 Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima,

katika nuru yako twaona nuru.

Veja também