23 Kama Mwenyezi Mungu akipendezwa na njia ya mtu,
yeye huimarisha hatua zake,
24 ajapojikwaa, hataanguka,
kwa maana Mwenyezi Mungu
humtegemeza kwa mkono wake.
23 Kama Mwenyezi Mungu akipendezwa na njia ya mtu,
yeye huimarisha hatua zake,
24 ajapojikwaa, hataanguka,
kwa maana Mwenyezi Mungu
humtegemeza kwa mkono wake.