Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 37

3 Mtumaini Mwenyezi Mungu na utende yaliyo mema.

Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama.

4 Jifurahishe katika Mwenyezi Mungu

naye atakupa haja za moyo wako.

5 Mkabidhi Mwenyezi Mungu njia yako,

mtumaini yeye, naye atatenda hili:

6 Yeye atafanya haki yako ing’ae kama mapambazuko,

na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também