7 Hakuna mwanadamu yeyote
awezaye kuukomboa uhai wa mwingine,
au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake.
8 Fidia ya uhai ni gharama kubwa,
hakuna malipo yoyote yanayotosha,
7 Hakuna mwanadamu yeyote
awezaye kuukomboa uhai wa mwingine,
au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake.
8 Fidia ya uhai ni gharama kubwa,
hakuna malipo yoyote yanayotosha,
7 Mt 16:26Hakuna mtu awezaye kumkomboa ndugu yake,
Wala kumlipa Mungu fidia kwa ajili ya maisha yake,
8 Ayu 36:18(Maana fidia ya nafsi zao ina gharama,
Wala hawezi kuitoa hata milele;)
7 Hakuna mwanadamu awaye yote
awezaye kuukomboa uhai wa mwingine,
au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake.
8 Fidia ya uhai ni gharama kubwa,
hakuna malipo yoyote yanayotosha,
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.