Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 5

11 Lakini wote wanaokimbilia kwako na wafurahi,

waimbe kwa shangwe daima.

Ueneze ulinzi wako juu yao,

ili wale wanaolipenda jina lako

wapate kukushangilia.

12 Kwa hakika, Ee Mwenyezi Mungu, unawabariki wenye haki,

unawazunguka kwa wema wako kama ngao.

Veja também