Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 51

Kuomba msamaha

1 Ee Mungu, unihurumie,

kwa kadiri ya upendo wako usiokoma,

kwa kadiri ya huruma yako kuu,

uyafute makosa yangu.

2 Unioshe na uovu wangu wote

na unitakase dhambi yangu.

3 Kwa maana najua makosa yangu,

na dhambi yangu iko mbele yangu daima.

Veja também