4 Moyo wangu umejaa uchungu,
hofu za mauti zimenishambulia.
5 Woga na kutetemeka vimenizunguka,
hofu kuu imenigharikisha.
22 Mtwike Mwenyezi Mungu fadhaa zako,
naye atakutegemeza,
hatamwacha kamwe mwenye haki wake aanguke.
4 Moyo wangu umejaa uchungu,
hofu za mauti zimenishambulia.
5 Woga na kutetemeka vimenizunguka,
hofu kuu imenigharikisha.
22 Mtwike Mwenyezi Mungu fadhaa zako,
naye atakutegemeza,
hatamwacha kamwe mwenye haki wake aanguke.
4 Zab 102:3-5;Mt 26:37,38;Yn 12:27;2 Kor 1:8-10Moyo wangu unaumia ndani yangu,
Na hofu za mauti zimeniangukia.
5 Hofu na tetemeko limenijia,
Na hofu kubwa imeniingia.
22 Zab 37:24Umtwike BWANA mzigo wako naye atakutegemeza,
Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele.
4 Moyo wangu umejaa uchungu,
hofu ya kifo imenishambulia.
5 Woga na kutetemeka vimenizunguka,
hofu kuu imenigharikisha.
22 Mtwike Bwana fadhaa zako,
naye atakutegemeza,
hatamwacha kamwe mwenye haki wake aanguke.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.