11 Nitayakumbuka matendo ya Mwenyezi Mungu;
naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.
12 Nitazitafakari kazi zako zote
na kuyawaza matendo yako makuu.
11 Nitayakumbuka matendo ya Mwenyezi Mungu;
naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani.
12 Nitazitafakari kazi zako zote
na kuyawaza matendo yako makuu.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.