2 Midomoni mwa watoto wachanga na wanaonyonya
umeamuru sifa,
kwa sababu ya watesi wako,
kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi.
2 Midomoni mwa watoto wachanga na wanaonyonya
umeamuru sifa,
kwa sababu ya watesi wako,
kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi.