Pular para o conteúdo
Publicidade

Zaburi 86:8-10

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

8 Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe,

hakuna matendo ya kulinganishwa na yako.

9 Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya

yatakuja na kuabudu mbele zako;

wataliletea utukufu jina lako.

10 Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu;

wewe peke yako ndiwe Mungu.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    8 Kut 15:11;Kum 3:24;1 Sam 2:2;2 Sam 7:22;1 Fal 8:23Katikati ya miungu hakuna kama Wewe, Bwana,

    Wala matendo mfano wa matendo yako.

    9 Zab 95:6-7;Isa 43:7;Ufu 15:4Mataifa yote uliyoyaumba watakuja;

    Watakusujudia Wewe, Bwana,

    Watalitukuza jina lako;

    10 Kum 6:4;Isa 37:16;Mk 12:29;1 Kor 8:4;Efe 4:6Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu,

    Wewe ndiwe mfanya miujiza,

    Ndiwe Mungu peke yako.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    8 Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe,

    hakuna matendo ya kulinganishwa na yako.

    9 Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya

    yatakuja na kuabudu mbele zako;

    wataliletea utukufu jina lako.

    10 Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu;

    wewe peke yako ndiwe Mungu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.