Pular para o conteúdo
Publicidade

Salmos 132

17 "Hapa nitamchipushia Daudi pembe132:17 pembe inawakilisha nguvu,

na kuweka taa kwa ajili ya masiya132:17 yaani mpakwa mafuta wangu.

18 Adui zake nitawavika aibu,

bali taji kichwani pake litang’aa sana."

Veja também